Nimpongeze Rais Samia kwa kusimama imara katika nafasi hii ngumu, yenye majaribu na lawama zote.
Ni ukweli usiopingika kuwa nafasi za uongozi ni kama ubao wa kupokea lawama na mazuri yote huandikwa na kufutwa.
Nipende kumpa moyo Rais na viongozi wote wa chini yake katika kukabiliana na lawama...