kupoteza wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Wafanyakazi wakorofi chanzo kikubwa cha kupunguza wateja kwenye baadhi ya Makampuni na kwingineko

    Ndugu waajiri ni muhimu sana kuwa makini na hawa watu kwenye Biashara zenu. Msiwaamini kupitiliza wanawafukuzia wateja muhimu. Ukiwepo mwenyewe wanakua wapole, ukiondoka wanafanya wanavojua wao. Hawa ni moja ya vitu vinavyosababisha malalamiko katika huduma unayotoa. Fuatilia.
  2. Mcheza Viduku

    Msaada: Nikipokea simu ya biashara mbele ya rafiki, ndugu au mke piga ua haifanikiwi, nifanyeje?

    Mimi ninafanya shughuli za kujiajiri mwenyewe, kitu ninachoshangaa ni pale nikiwa na rafiki/marafiki, ndugu au wife halafu nikapigiwa simu na mteja wangu tukaanza kupatana bei. Baada ya hapo piga ua garagaza hiyo kamwe haitafanyika hata iweje, jambo hili limekuwa linaniumiza kichwa muda mrefu...
  3. Sir John Roberts

    Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  4. L

    Tabia ya kuchanganya content kwenye social media account za kibiashara, inatukosesha Sana wateja na Kama sio wote Basi wateja serious tunawapoteza

    Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia kipato. Moja ya vitu nilivyo vi observe na nikaona vinatugharimu Sana hasa kwenye mtandao wa...
Back
Top Bottom