kuprint

  1. Muongozo: Wapi naweza kuprint vitabu vyangu?

    Wakuu heshima kwenu. Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali. Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa...
  2. Natoa huduma ya kuprint viroba

    Natumaini nipo poa kabisa!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatoa huduma ya kuprint viroba vya kg 50,25,10,5 kwa bei nafuu kabisa ... Ofisi ipo Tandale sokoni namba ya simu ni 0674 864 371... Viroba unaweza kuweka unga au nafaka mbalimbali Bei zetu ni nafuu sana Kg50 ni 800 Kg25 ni 600...
  3. O

    Nani aniuza printer yenye uwezi wa kuprint a3 used lakini mfukoni Sina pesa ndefu yaani mamilioni

    Mwenye printer used inkjet yenye uwehio karibu
  4. M

    Ukiwa na mashine za embroidery nawezaje kupata faida? Mashkne za kuprint tshirt mfano kamouni ya ricoma

    NAOMBA KUJUA FAIDA NA HASARA ZA KUWA NA MASHINE HIZO KWENYE BIASHARA HII YA PRINTING. Vilevile naomba kujua ili nipate faida natakiwa niwe na raw material gani?
  5. 5

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo. Tunaomba kujua hapa nina...
  6. R

    Kadi ya NIDA inakitu gani special hadi iwe ngumu kuprint kiasi hiki? Passport na NIDA kipi kigumu kuchapisha?

    Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho? Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
  7. S

    Wapi naweza kupata fund au sponsorship ya ku-print kitabu changu?

    Nimeandika vitabu vya financial education, women empowerment na girls rights maalum kwa ajili ya watoto. Pia nna vitabu vya Kiswahili kwa wageni kujifunza. Sina pesa ya designing na kuvichapisha. Ni wapi naweza kupata msaada wa aina yoyote nichape vitabu vyangu? Ikiwezekana kwa makubaliano maalum.
  8. R

    Msaada wa namna ya kuprint form and declaration ya mikopo HESLB

    Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please? Nime i-resise accpording to their allowed size JPG still inakataa. Inaleta msg hii TCPDF ERROR: [Image]...
  9. Tunauza na kuprint mifuko ya kuweka unga na mchele

    Mifuko yetu ni imara haina shida aina yeyote, haitoki rangi zake na inadumu muda mrefu. Kama huna nembo tunakudesignia. Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. Tunapatikana Dar Es Salaam. call& Whatsapp 0683557564
  10. Anza biashara ya kuprint T-Shirts na vitu vingine kwa Tshs. 1, 700, 000 tu!

    Habari za majukumu wanajamvi. Kama uko interested na biashara ya kuprint t-shirts, kofia, vikombe, sahani n.k, njoo nikuuzie Heat press machine ambayo ni 4in1 pamoja na printer EPSON L810 kwa TSHS. 1, 700, 000/= (milioni moja na laki saba). Pamoja na vitu hivi, nitakupatia baking paper.
  11. Msaada juu ya kuprint data zote kwenye drop down list kwenye excel 2013

    Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia. Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja. Au hata kwa kutumia VBA code azinisaidie then kuziset kwa kuedit sheet ya drop down list na cell...
  12. Biashara ya kuprint picha/canvas

    Wakuu salam Nataka kufanya hii biashara Naomba mwenye ujuzi tushee Printer ya aina gani inatumika Materials Ujuzi Na upatikanaji wake Natanguliza shukran Nimeatach picha ya sample
  13. Nipeni maarifa kuhusu biashara ya kuprint Tshirt

    Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi. Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa je logo kabla hujai print unaifitisha vipi kwenye hicho kimachine? Mwenye darasa tafadhali tufungue...
  14. Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

    Habari wakuu, Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani. Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio. Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online...
  15. A

    Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3d vacuum sublimation machine

    Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi aliyepo hapa Dar anicheki PM kwa mawasiliano.Asante
  16. Fahamu mambo ma 3 Kabla ya kuprint mifuko ya kuweka unga

    Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine. 1. Artwork /picha Kabla ya kuchapisha mifuko ya kuwekea unga ile ya viroba au ya salfeti ni muhimu kuwa na mchoro au picha ambayo...
  17. Uchaguzi 2020 Hivi hii Serikali inayodai inawatetea wanyonge, inawezaje kutapanya pesa kwa kusambaza mabango na "kuprint" T/shirt za kusambaza nchi nzima?

    Kila unapotembea hivi sasa katika nchi hii utayaona mabango kwa maelfu, ya wagombea wa CCM yakiwa yamebandikwa sehemu mbalimbali za kuwanadi wagombea wao kwa uchaguzi mkuu ujao. Vile vile katika kila mkutano wao wa kampeni, utaona mashabiki wao, wakiwemo watoto wadogo wanaosoma shule za msingi...
  18. K

    Uchaguzi 2020 Serikali yaanza kuprint vipeperushi vya mafanikio ya Awamu ya Tano, tuvisome?

    Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe. Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza...
  19. F

    INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

    Habari wadau Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 ) Mashine ni heavy duty na...
  20. Tuna design na kuprint lebo/stika za bidhaa mbali mbali

    BEI YA DESIGN TSH 50,000/= (UTAPATA NA OFFER YA REALISTIC MOCKUP YA BIDHAA YAKO) BEI YA KUPRINT STICKER TSH 600/= A4 SIZE HUDUMA ZETU UTAZIPATA MAHALI POPOTE ULIPO! FREE DELIVERY NDANI YA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNATUMA KWA BUS CALL/WhatsApp +255 658 060 476
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…