Nauza chia seeds zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu.
1kg inauzwa 17,000/- gharama za kuletewa utajitegemea.
3kgs na zaidi zinauzwa 1kg@16,000/- unaletewa popote Dar es salaam.
1/2kg inauzwa 10,000/- gharama za kuletewa unajitegemea.
Zinafaa kwa matumizi ya tiba lishe, pia zinafaa kama...