kupunguza tumbo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
  2. Replica

    Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula

    Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine. Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si...
  3. carnage21

    Afariki kisa kupunguza tumbo

    Habarini Mojawapo ya tatizo linalosumbua wadada hasa wa mjini ni matumbo makubwa,kuna muuguzi amefariki tu kisa kujaribu kupunguza tumbo.Kwahiyo wale wadada wenye viribatumbo please nawashauri mpende uumbaji wa Mungu. Hata sisi wanaume tuwapende bas hawa wenzetu,wataolewa na nani jaman...
Back
Top Bottom