Habarini
Mojawapo ya tatizo linalosumbua wadada hasa wa mjini ni matumbo makubwa,kuna muuguzi amefariki tu kisa kujaribu kupunguza tumbo.Kwahiyo wale wadada wenye viribatumbo please nawashauri mpende uumbaji wa Mungu.
Hata sisi wanaume tuwapende bas hawa wenzetu,wataolewa na nani jaman...