Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania....
Siku ya Leo nimekuja na mada wezeshi na mada hii itasaidia kuwezesha watumishi wa Umma kuleta matokeo chanya katika utumishi wao.
Kipekee ninatambua kura ni Siri ya mtu na mpiga kura halazimishwi wala hashurutishwi kukipigia Chama...
Hellow Tanzania.
Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu?
CCM Ina mtajj mkubwa wa wanachama Nchi nzima, na wamefanikiwa kumtangaza Mwenyekiti wa chama kwenye...
Wanabodi,
Kama mnavyojua kuwa sasa hivi kampeni za serikali zinaendelea na jana Mbunge wa Ilala Mussa Zungu
Ukiangalia mitaa ambayo alikuwa anapita ni mitaa ambayo barabara ni mbovu, hakuna mpangilio na hata mitaa haiko katika hali ya usafi.
Anakutana na wananchi wanauza mihogo katika hali...
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha Mapinduzi siku ya uchaguzi tarehe 24 Novemba, 2024.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa uchungu mkubwa sana na hisia kali sana amesema na kuwaomba sana wananchi kujitokeza kwa wingi kuchagua viongozi katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.lakini pia wenye sifa za...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote.
2. Ya pili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.