kura kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania hatupigi kura kidigitali kwamba mtu akiwa na NIDA tayari kapiga kura, tunapiga kura kwenye boksi zinahesabiwa mbele ya mawakala

    Watanzania tuache kutapeliwa kirahisi rahisi. Yaani mtu anadanganya eti NIDA sijui inasaidia kuiba kura. Uongo mkubwa. Kura zinapigwa manually(kwenye kituo) zinahesabiwa hapohapo, na matokeo yanajulikana. Sasa NIDA inakujaje? Kura za udiwani huko Nkasi zinapigwa mbele ya mawakala, zinahesabiwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukumbushane baadhi ya Matukio ambayo hufanywa na Wanasiasa Majimboni kuelekea Uchaguzi ili kuombea kura

    Kuna msemo wa Waswahili wanakwambia bora Ukosee njia lakini usikosee Kuoa ila binafsi naona hakuna kosa kubwa katika hii dunia kama kukosea katika kuchagua kiongozi bora ambaye atakuja kutatua changamoto katika Jamii. Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu na uchaguzi wa serikali za mitaa...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…