kura ya maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
  2. S

    Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  3. Nguruvi3

    Duru: ' Utata wa Utatu', Katiba, Muungano na Kura ya Maoni

    Sehemu ya I Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda. Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano na Kura ya maoni'' . Madai ya katiba ni katika eneo la madaraka ya Rais, kuimarisha taasisi na...
  4. T

    Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

    Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
  5. MK254

    Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

    Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake. ========= Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
  6. F

    Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  7. Dr Count Capone

    Tanzania ili tuendelee tujiunge na Marekani

    CountCapone Kabla ya mwaka 1961 hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Tanzania kwenye ramani 1-1885 Ardhi ya Tanzania haikua na dola moja inayotawala bali jamii nyingi zilizogawanyika 1885-1919 Deutsch-Ostafrika (Afrika Mashariki ya Ujerumani 1919-1960 British East Africa Protectorate...
Back
Top Bottom