Kura za maoni ndani ya CCM ndio hasa mwanzo wa kuwapata Rais wa nchi, wabunge na madiwani wa maeneo mbalimbali nchini.
Ndio uchaguzi ambao unakuaga na mchuano mkali zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe ambao mara zote hua ni katika kukamilisha tu ratiba, sheria na matakwa ya kikatiba, lakini uchaguzi...
Wakuu,
Misaada na michango imeendelea kububujika kutoka kwa viongozi wa CCM
Hii michango kwanini hatukuiona miaka mitatu nyuma?
=================================
Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu...
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Sengerema amewaonya baadhi ya viongozi wa jumuiya wanaotumika kupanga safu za wapiga kura wa maoni ndani ya CCM, akisema wanakiuka taratibu za chama hicho.
Ametoa wito kwa viongozi hao kuheshimu misingi ya chama iliyowekwa na waasisi wake na kuacha tabia zinazoweza...
Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM.
Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17 ameshinda. Mbona hapa bado tutayaona mengi jamani.
Wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam 'wamechachuka'...
Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe zaidi.
Sehemu zinazolegalega, viongozi wa chama wa maeneo hayo wazitambue, watoe sababu, na waingie...
Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa kupita
Wengi hata vyama vya upinzani wanashangaa mbona kama uchaguzi wa nani agombee serikali ya...
Vurugu zimezuka kura za maoni Uchaguzi wa kumpata mgombea atakaekwenda kupeperusha bendera Serikali za mitaa Chama cha Mapinduzi mtaa wa Mwanga mkoani Kigoma mara baada ya wananchi kutoridhika na mchakato wa uchaguzi huo.Wajumbe hao wamalalamikia wizi wa kura uliofanywa na baadhi ya viongozi...
Katika Kata ya Ibadakuli, Manispaa ya Shinyanga, kumetokea sintofahamu kubwa kati ya diwani wa kata hiyo, Msabila Malale, na diwani wa Vitimaalumu, Zuhura Waziri, wakati wa zoezi la kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM).
Tukio hili lilitokea jana wakati wagombea wa CCM walipokuwa...
Tunaandaana kisaikolojia tu 2025 hautakuwa mwepesi kwa Wagombea Ubunge wa CCM
Nakumbuka kwenye mazishi ya Laigwanani Lowassa CCM iliwakilishwa na Hussein Bashe na Rostam Aziz waliotokea Vatican kuonana na baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro wa Kanisa Moja Takatifu La...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.