Habari zenyu wakuu,
Nimeona watu wanashadadia kura za X(Twitter) zinazowahusu Kamala na Trump, kuwa Trump kashinda na Kamala ndio imekula kwake.
Lakini hapa hata mimi ambaye sitashiriki uchaguzi wa Marekani nimeweza kupiga kura, hii imekaaje, au anayechaguliwa ndio anakuwa anakubalika dunia...
Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa
TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74
Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.