Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie
Waraka huo unazungumzia:
Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma.
Mara nyingi nafasi za ajira serikalini zinapotoka zinawataka "waombaji waliowahi kuajiriwa serikalini na kuacha kwa sababu...