I just saw a goal.com South Africa posting Manara words .
Manara Ameshusha brand ya Yanga na fan base South Africa in a single post. Hersi katengeneza kitu kikubwa then kaajili mtu kukibomoa .
Sijui kama Hersi anajua Manara kasha zingua huko South Africa. Mtu karibu na Hersi amshtue kazi...
Manara abused yanga fans and their leaders . Today is out here , claiming he is more of a yanga fan than the rest of Yanga fans.
Yanga fans are taken as fools . In day light
Nyota imefubaa ghafla, kuna wahuni toka matawi mbalimbali ya Yanga wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi endapo atashika microphone kusema chochote.
PIA SOMA
- Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga
Kaeni mkijua nyie utopolo kuwa Haji Manara hayupo Yanga kwa ajili ya mapenzi ya timu hiyo, yeye yuko Yanga kwa ajili ya GSM.
GSM ndio inamlipa mshahara Yanga na mwenyewe amesema live kuwa ameongezewa mshahara hata wakati ule alipokuwa amefungiwa.
Yeye Manara ni mtu muhimu sana ndani ya klabu...
Hapa ni uwazi na ukweli.
Andika maneno hayo kuungana na mashabiki wenye akili timamu ambao hatutaki utoto kwenye mpira.
Aliwahi kusema wenye akili yanga ni wawili tu tena akimaanisha, hivo alituona wajinga.
Aliwahi kusema toka akiwa mdogo/ mtoto akiona yanga imeshinda alikua anajificha gizani...
Kufuatia kinachoendelea pale Yanga kuhusu kurejea kwa Manara katika nafasi yake ya usemaji wa Club,ninashauri Yanga wafanye kama ifuatavyo:
1. Sababu Ali Kamwe amefanya kazi nzuri ya usemaji wa Club katika kipindi chote ambacho Manara alikuwa katika kifungo, basi nashauri abaki kwenye nafasi...
Tunajua njaa haina rafiki, lakini GSM amtafutie mahala pengine huyu babu, kazeeka. Hivyo vitengo ni vya vijana, na wamevimudu vilivyo.
Zee la miaka 50 na zaidi la nini tena Yanga? Awekwe Baraza la Wazee na akina Mzee Mpili akawe msemaji wao.
Yaani Engineer Hersi anamsalimia shikamoo babu...
Kwa shauku aliyonayo si ajabu akawa analinoa koo lake na maziwa ya ngamia mara tatu kwa kutwa, kifungo chake kinaenda kuisha mwezi huu, si hivyo tu bali Yanga ikiwa imebeba makombe muhimu mfululizo mara 3.
Nikikumbuka ujio wake, Nugaz alikuwa peak na tulidhani wangefanya kazi pamoja ila mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.