Hayo ndio yamejiri huko Mererani Wakati Waziri wa Madini bwana Antony Mavunde akizindua Mnada wa mauzo ya Madini ya Vito kwenye Jengo jipya lilojengwa na Serikali maarufu kama Magufuli House.
Bwana Mavunde bila kueleza sababu za serikali kunyachukua Madini kutoka kwa wafanyabiashara mwaka 2017...