Baada ya kumrejesha Makonda , Dr Hangaya akitetea uamuzi wake huo alisema kwamba , Makonda hakuwahi kuikosea ccm , " mligombana wenyewe kwa wenyewe huko "
Sasa kwa vile Sabaya naye hakuwahi kugombana na ccm , bali aligombana na aliowateka kwa mtutu wa bunduki , huku akiweka namba za kizushi za...