Wakuu sauti iliyopzwa imemfikia Waziri Dkt. Gwajima D Wanafunzi hao kurudi shule baada ya kupita kwenye programu ya marekebisho tabia.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema wanafunzi wa kike mkoani Tabora waliofukuzwa shule kwa makosa ya...