Kuna kitu huwa kinanistaajabisha kidogo hapa bongoland hasa kuhusu jamii ya watu wanaotuzunguka.
Yani mtu ukiwa huna shobo zile za kindezi kwa watu au kushabikia mambo ya kipuuzi puuzi basi jamii inaanza kukuona kama mtu unaeringa na kujisikia.hivi kwani ni lazima watanzania wote tufuatilie...