kurithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni ujinga uriokithiri kurithi adui wa mtu kwa kusimuliwa habari zake

    Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia machoni hao watu au huyo mtu Usiwe mwepesi wa kuamini maneno ya watu , jambo lolote lile lifanyie tafiti...
  2. Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  3. Petro Parolini anaetazamiwa kurithi kiti cha upapa endapo kutatokea nafasi hio kuwa wazi

    Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu . Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho. Soma...
  4. Z

    Ufafanuzi juu ya haki ya mjukuu kurithi mali ya babu/bibi yake

    Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18). Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
  5. B

    Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

    Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume. Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
  6. Rais Samia: Tutatafuta Mtanzania mwenye vigezo kumrithi Dkt. Ndugulile WHO

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile itaelekezwa kwa Mtanzania mwingine mwenye sifa. Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu, Desemba 2, 2024 katika hafla maalumu ya kuaga mwili...
  7. G

    Kwetu wakristo watoto wa nje wana haki sawa ya kurithi mali kama watoto wa ndani ya ndoa, Dada wa Arusha awape mali watoto wa Housegirl

    Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje. Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
  8. Watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi mali zilizopatikana ndàni ya ndoa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hapa kûna terminologies(istilahi) kadhaa Ambazo sharti nizitolee maelezo Kabla sijaendelea mbele kwèñye hili àndiko. Istilahi hizô NI kama Ifuatavyo: 1. NDOA 2. Mtoto wa nje ya Ndoa 3. HAKI 4. Urithi 5. Watoto wa ndàni ya Ndoa. 6. Mali Ndoa ni Makubaliano...
  9. Je, mtoto anaweza kurithi ugonjwa wa Hydrocephalus kupitia wazazi wake?

    Ni wazi kuwa tumepata kuona kwenye vituo vyetu mbalimbali vya afya wagonjwa wa Hydrocephalus, watoto wetu wamekuwa wakipata matatizo haya kwa kiwango kikubwa. Kwa zaidi ya miaka 10 nimekuwa nikiwaona wazazi na walezi wakipata shida, wakizunguka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta suluhu ya...
  10. Captain Geogre Bantu kurithi usukani kuliongoza jahazi bila Captain Mkuu Gardner G. Habash

    Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman Njaidi baada ya kuuona uwezo wa Gardner wa kushawishi wateja, akamchukua na kumpeleka Clouds FM japo...
  11. Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

    Shalom, Ukiheshimiwa jiheshimu, sasa ukweli ni kwamba miaka 10 Ikulu ni mingi sana, ukihudimu kama Makamu wa Rais na Rais kwa nusu vipindi kiapo chako na kikanuni na kikatiba ni Cheo chako Cha umakamu, chama kimekupa ridhaa ya miaka 10 tu ya umakamu hicho kiti cha juu ni bonus kutokana na kifo...
  12. Mohammed Dewji: Kurithi inakuja na responsibilities. Adai ni 5% tu ya wajukuu wanafanikiwa kupitia urithi, waliobaki wanapoteza

    Mfanyabiashara, Mohammed Dewji wiki hii alianza kampeni yake ya 'Mo Cares' akiielezea kama Moo anajali watanzania ikiwemo kuwapa zawadi washindi wataojibu maswali yake. Dewji anasema alitekwa miaka mitano iliyopita na wasiojulikana na anawashuru watanzania wote waliomuombea. Miongoni mwa...
  13. Dudley Mbowe anatosha kurithi Uenyekiti CHADEMA?

    Mtoto wa Freeman Mbowe ambaye anatajwa tajwa sana kurithi mikoba ya baba yake kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Lakini mimi binafsi naona hatoshi sababu amekimbia na mishahara ya wafanyakazi wa kampuni ya baba yake mpaka sasa baadhi ya mali zao zinatakiwa kupigwa mnada. Haiwezekani mtetezi wa...
  14. Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  15. Watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya kurithi

    KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI: Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011 Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.👇 1...
  16. G

    Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  17. Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

    Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando . Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao. Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka. Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa...
  18. Haki ya mtoto nje ya ndoa kurithi mali

    Historia ya Nafasi ya Mtoto wa nje ya Ndoa katika Mirathi Katika masuala ya mirathi jambo mojawapo ambalo limekuwepo katika jamii na limeibua changamoto kubwa ni nafasi ya mtoto wa nje ya ndoa kurithi mali ya mzazi wake. Suala hili limeibua migogoro ya kila aina kwenye familia mara baada ya...
  19. Kurithi majina ni chanzo cha koo tajiri kuwa tajiri na koo masikini kuwa masikini

    Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? Lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali...
  20. Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…