Najaribu kufanya kautafiti; Kuhusu maziwa ya mama kwa mtoto.
Inaonekana, katika unyonyeshaji, huwa kuna vitu hutoka kwa mama kwa njia ya maziwa, ambavyo mtoto anarithi kiubinadamu.
Sasa najiuliza; tunapowapa watoto maziwa ya ng'ombe, mbuzi n.k ina maana watoto wetu, wanaenda kurithi viasili...