Sijafanya utafiti wa kutosha kuhusu mikoa mingine, lakini karibu nimetembea mikoa yote ya Tanganyika. Hali zinafanana—utofauti ni mdogo sana.
Turudi mkoani kwangu, Lindi. Kule, ndugu wa damu kabisa ndiye mchawi wako namba moja. Ni kama Yesu alivyosema: "Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake"...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
Inashangaza sana
Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba
Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini Gamboshi kijumba
Profesa Mhaya ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Bukoba mjini lakini kijijini Biharamulo...
Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge.
Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri.
Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao amewashirikisha wasanii Bien toka Kenya na Boby Shmurda wa nchini Marekani.
Hii ndio post Harmonize...
366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k
nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya...
Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi.
Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
Unakuta kuanzia Wazazi wako, Ndugu na hata Marafiki bila sababu yoyote au Kosa lolote lile Wanakudharau, Hawakuthamini na Wanskuona ni Kero, Mzigo na hata Takataka Kwao. Na hali hii inaweza kukuta ukiwa una Ajira yako na hata Pesa au huna Ajira na Pesa vile vile.
Na kama haitoshi pia hata ukiwa...
1. Ndugu mmoja alipigwa marufuku kukatiza katika uwanja wa jirani akiwa anatoka kuteka maji. Huyu dada hakusikia akawa analazimisha, Yule mzee akampa onyo la mwisho, Kwa kiburi ndugu yule akalazimisha kupita. Siku iliyofuata alishangaa miguu inaishiwa nguvu na inakuwa ya baridi.
Tangu siku hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.