kurudi nyumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  2. Mabinti wanaomaliza vyuo na kurudi nyumbani wananyanyapaliwa sana na wazazi kuliko vijana wa kiume

    Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo. Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao...
  3. Alizamia South Africa toka mwaka 1998, amerukwa na akili, sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania

    Mtanzania Anaitwa KARIM HUSSEIN LIMO Huyo Aliesimama Katikati Amezaliwa 1968 Elimu Amepata Shule Ya Msingi Maweni Baba Yake Anaitwa HUSSEIN ABEID LIMO Mama Yake Anaitwa MARIAM MASHIRIMA Kwao Ni Himo, Moshi Aliondoka Tanzania Kuelekea South Africa 1998 Miaka Yoote Hakuwahi Kurudi Tanzania Wala...
  4. Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  5. Wahaya nao wameanza kurudi nyumbani Krismasi

    Wasomi na wafanyabiashara wakubwa toka kabila la Wahaya wameanza utamaduni wa kurejea nyumbani Bukoba kama wanavyofanya Wachaga. Wengi wanatokea nje ya nchi (New York, Washington DC, Geneva, Paris, London, Sydney, Stockholm, Copenhagen) na hapa nchini wengi wanaishi Jijini Dar es Salaam, Dodoma...
  6. Muda wa watoto kurudi nyumbani umewadia

    Salaam wanajamii forums Ninawaona watoto wetu wameanza kukunja nguo wanarudi kijijini kwa wazazi kutusalimu Hawaji kwa sababu wanatupenda wanakuja tuwatemee mate na kuwapa baraka za kimila warudi mjini wakatanue maisha yao Kama kawaida hawaji kwasababu wametukumbuka sana hapana uko mjini muda...
  7. India yatoa msamaha wa kulipa faini kwa Watanzania waliokwama kurudi nyumbani

    Balozi wa Tanzania Nchini India, Anisa Mbega ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu msamaha uliotolewa kwa Watanzania baada ya mazungumzo maalum yaliyofanyika pamoja na Serikali ya India kwa kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya India. Balozi Mbega anasema “Ubalozi kwa kushirikiana na Mamlaka...
  8. Wachaga na kisa cha kurudi nyumbani kila mwisho wa mwaka.

    Wachaga ni kabila lenye asili ya Kibantu na mchanganyiko wa asili ya Kikushi wanaoishi kaskazini mwa Tanzania, Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro. Kabila la Wachaga linatajwa kuwa la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania, ambapo takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachaga ni watu 2,000,000...
  9. Ni wakati wa Wanyarwanda kurudi nyumbani

    Kumekuwepo na kelele nyingi kuhusu dissapora wa Kinyarwanda waliopo ugenini, kwamba kila Mnyarwanda ambae yupo ugenini au kwenye kambi za wakimbizi ni intarehamwe. Hizi ni jitihada za makusudi za kuzuia vizazi vya Wanyarwanda waliozaliwa ugenini wasidai haki yao ya kurudi nyumbani. Nakumbuka...
  10. Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  11. Burudani: Freshley Mwamburi asherekea miaka 30 ya Stellah kurudi Kenya akiwa na mchumba Mjapani mfupi futi 4

    Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man. The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'. The record is a love/hate story wonderfully put together. And every year on May 17, Kenyans...
  12. Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

    Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane. Maestro de Quimica!!OP
  13. Mtanzania Anarudishwa Bongo Kutoka Marekani. Ana USD 10,000 (23M Tshs) Tu. Mnampa Ushauri Aitumieje?

    Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
  14. Sababu zinazowafanya Wanaume wengi wachelewe kurudi nyumbani

    1. Zamu ya kulea mtoto. 2. Makelele ya mama kwa watoto. 3. Kufokewa kwa binti wa kazi mda wote. 4. Kupekuliwa simu. 5. Kudaiwa pesa za matumizi mara kwa mara. Ongeza sababu zingine. Kama zipo
  15. S

    Japo Godbless Lema ametangaza nia ya kurudi nyumbani, na kwamba yuko tayari kwa lolote, naamini Mbowe atamtaka asirudi nyumbani

    Akiongea kupitia MariaSpaces, Godbless Lema amesema: "Nafikiri niko tayari kurudi nyumbani. Nafikiri natakiwa kuwa on the ground kuliko wakati wowote.Nafikiri natakiwa kumuona Mwenyekiti jela au mahakamani kumtia nguvu..Nafikiri I am ready now, I am ready for any consequences." My opinion...
  16. K

    Kwanini watu huogopa kurudi kwao wasipofanikiwa?

    Habari zanu wanaJf, Kufuatana na kichwa cha habari hapo juu, nimeona niombe ufafanuzi zaidi wa jambo hili. Nimeona watu wengi baada ya kutoka kwao na kuenda kutafuta maisha sehemu nyingine na kukosa kile walichokusudia, huamua kukaa huko bila kukumbuka hata kurudi kwa asili yao! Nawasilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…