Wapendwa nawasalimu.
Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana, sio yule mliyemzoea siku zote, naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa ya maisha yangu....
Nina ex wangu niliyeanza mishe za mapenzi nae 2017 kwa jina ni J, mwanaume...