kurudiana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BOMBAY

    Ni maamuzi yapi anatakiwa Kuya fanya Kati ya kumuacha moja kwa moja au kurudiana nae Tena?

    Habari wakuu, Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda kombo. Jamaa aliepoteza karibu Kila kitu wakawa chakarii. Mwaka Jana mwezi wa tisa aliamua...
  2. JanguKamaJangu

    Anthony Joshua afikiria kurudiana na Dubois

    Bondia Anthony Joshua anatarajiwa kurudiana na Daniel Dubois baada ya sehemu ya Waratibu wa pambano lao la kwanza kudai kuwa wapo katika mazungumzo ya awali AJ alipoteza pambalo lililopita katika Raundi ya 5 mbele ya Mashabiki 98,000 kwenye Uwanja wa Wembely Joshua bado ana mkataba wa kupigana...
  3. Tlaatlaah

    Wimbi la ma ex girlfriends na ex boyfriends zao kurudiana limeongezeka sana nowadays nchini, kulikoni?

    ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa rasmi? wabobevu, ndrugu zango wadau mnazungumziaje suala hili la kheri katika jamii zinazotunguka?🐒
  4. K

    Nawezaje kurudiana naye?

    Aah
  5. Braza Kede

    Mliyeoa/kuolewa utakuwa tayari kurudiana na baby wako

    Ikitokea leo hii ndoa zote zikavunjwa hlf mkapewa hiyari ya kurudiana na baby wako kwa aliye tayari. Je utakuwa tayari kurudiana na huyo baby wako? **Mabarubaru peni na karatasi ziwe karibu mchukue notes apa.
  6. GENTAMYCINE

    Je, kurudiana na Mwanamke mliyeachana nae miaka 13 ni vyema au ni Hatari?

    Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki. Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia Comments zenu ndiyo nitaamua nimrudie au nisimrudie. Kuna Mwamba Mmoja aliniambia aliachana na Mpenzi...
  7. Moronight walker

    Tunamshauri arudiane na mkewe: Waliachana baada ya mume kuzaa nje ya ndoa

    Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe. Sasa miaka 5 iliyopita bro wangu alikuwa na mchepuko, sasa katika kuchepuka nae, yule dada alibeba ujauzito wake. Bro...
  8. S

    Yanga kurudiana na Alhilal: Mashabiki wa Simba wana hofu kuliko hata mashabiki wa Alhilal

    Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake. Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo. Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha...
  9. Mto wa mbu

    Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

    Hope mko poa, Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, halafu penzi likanoga Kama zamani. Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu. Baada ya muda tuliachana, japo...
  10. T

    Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

    Ahlan wa Sahlan Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala. Kwa haraka haraka mtu anaweza kusema kuwa Harmonize anatafuta kiki ili atrend mitandaoni ila kwa jicho la...
  11. Desire mobutu seseseko

    Inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa sawa kwenye mapenzi yenu?

    Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha.. Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa ubaya? Kiiufupi miaka sita hivi imepita lakini saiv mawalisiano yamerudi kiasi fulani..pamoja na...
  12. M

    Natamani kurudiana na mzazi mwenzangu ila yeye hataki

    ..
  13. pascal luoga

    Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

    Wakuu habari zenu.. Poleni sana na majukumu Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana.. IKO HV Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo since 2 years ago na tumemaliza mwaka jana wote pamoja... Huyu manzi alikuwa ni mgeni pale chuo...
  14. Lager

    Baada ya hisia kuwa kali juu yake nimeamua kumrudia

    Ndio mimi nilieleta uzi humu ya kuwa nilimuacha lkn hisia juu yake zikiwa bado ni kali sana Nilijutia kumuacha na nikaona ya nini niumie angali badonampenda!, nimemrudia na mapenzi hivi Sasa ni motomoto. Nimeamua nimkubali hivyo alivyo hisia za kumpenda huyu manzi ni kali sana kumuacha ni sawa...
  15. Maleven

    Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

    Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
Back
Top Bottom