Habari za wakati huu wadau?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.
Karibuni.
Ni bora kumvumilia mpenzi wako huyohuyo aliyekukosea kuliko kuanza kuongeza idadi ya mliowahi kudate na hatimaye kuwa Malaya. Hivyo ni bora kuwa mvumilivu kuliko kuwa Malaya.
Mbarikiwe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.