Hope mko poa,
Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, halafu penzi likanoga Kama zamani.
Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu.
Baada ya muda tuliachana, japo...