Iko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi...