kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
  2. R

    ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
  3. Nitaifichaje hii aibu ili niweze kurudisha heshima yangu

    Habari zenu ndugu zangu , Mimi ni mtumishi idara Fulani sasa juzi tulikuwa na hafla fulani au tuseme ni ziara fulani nje ya mkoa sasa ikapelekea kunywa pombe kupitiliza na kuanza kuropoka yaani kila mfanyakazi mwenzangu alijua kwamba nimelewa na wengine kuwaweka wazi kuwa nawapenda sasa hii...
  4. Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

    Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa...
  5. Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  6. Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade

    Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
  7. Trump kusaini agizo la kuachana na mirija ya karatasi, kurudisha mirija ya plastiki

    Wakuu, Kwa uncle Trump huko ji bandika bandua, kila siku anakuja na agizo jipya, mpaka Wamarekani watajuta kumfahamu. ==== Trump akimjibu chawa Musk kupitia ukurasa wake wa X baada ya kububujikwa na machozi ya furaha kwa kuambiwa yeye ni rais bora kabisa, amejibu kwa kusema kuwa atasaini...
  8. Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

    Mfano tu mtu kakosea katuma pesa kwako kimakosa 70k elfu anaomba uirudishe na wewe ulipo iona ukaamua kuitoa hapo hapo maana ulikuwa karibu na wakala af anapiga simu sana una amua kublock namba kuna shida yoyote?
  9. Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  10. What is so special kuhusu kurudisha watoto kayumba hadi mje kudiss shule za English Elementary humu? Mtutajie basi na matumizi mengine mnayobana

    Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka. Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
  11. R

    Kurudisha mafaili uliyofuta kwenye simu

    Umefuta faili kimakosa kwenye simu yako?. Unaweza kulipata faili ulilofuta kwa kutumia app ya 'Undelete'. Ipakue google playstore kwa kutafuta 'Undelete'
  12. D

    Sweden imetenga Euro 109 milioni ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni

    Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni. Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
  13. J

    Recep Tayyip Erdoğan wa Turkey, tamaa yake ya kurudisha Ottoman Empire huenda ikamgharimu

    Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki. Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim brotherhood na hapo ndipo wanapokutana na Serikali ya Qatar ambayo ndiyo mfadhili mkubwa wa mbinu zote...
  14. Ni maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida?

    Wakuu kwema? Naomba kujua, Ni Maduka gani wanauza rangi za kurudisha muonekano wa nguo/suruali katika hali yake ya kawaida? Dawa hizi kama sikosei zinalowekwa kwenye nguo kisha zinarudi katika hali yake. Ni hayo tu wakuu. Ahsanteni
  15. Nifundisheni jinsi ya kurudisha sms zilizofutwa kwenye simu (smartphone)

    Habari wana Tech wa JF? Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo Nawezaje kuzirudisha? Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms...
  16. M

    Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
  17. Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  18. Kuna application inayoweza kurudisha contacts zilizofuta.?

    Nimejaribu kutafuta playstore badluck nilizokuta nazo zimeshindwa kurecover namba ambazo nilizofuta intentionally.
  19. Jicho la tatu la kijasusi Israel kurudisha ndege zake nyuma kuto ishambulia Iran

    Natamani nimjue alie mpa elimu ya ujasusi netanyau maana ana akili kubwa sana. Kweny ujasusi kuna kitu kinaitwa False flag. FALSE FLAG;a political or military action that is made to appear to have been carried out by a group that is not actually responsible: Credit definition Geogle Walicho...
  20. Namna ya kurudisha account ya FaceBook iliyodukuliwa

    Ikiwa akaunti yako ya Facebook imedukuliwa, unapaswa kuchukua hatua haraka ili kujaribu kuirejesha. Hapa kuna hatua za kufuata: 1. Badilisha nenosiri mara moja: - Ikiwa bado unaweza kuingia kwenye akaunti yako, nenda kwenye Mipangilio(settings) -> Usalama na Kuingia-> **Badilisha Nenosiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…