Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania
Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
Habari za muda huu wapendwa ni muda wa wiki tatu sasa toka tumemzika ndugu yetu kipenzi lakini kifo chake kilikua cha kushangazwa kwa kila mtu kutokana na hiyo hali tukajaribu kuzunguka huku na kule kupata sababu ya kifo nini ila kila tunapoenda ni kuwa kachukuliwa na kuhifadhiwa ili waweze...
Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia.
Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia.
Wakimlazimisha kumzoa kwa...
Tunapo karibia uchaguzi mkuu pesa itatafutwa kwa njia yoyote ile ikiwemo ya halali na ya haramu. Hatuwezi kupuuzia jambo dogo kama hili la kubadilisha fedha ambazo kimsingi zilisha pita muda wake wa matumizi, ni fedha zilizo kwisha ku-expire.
Nadhani ni fedha ambazo hazipaswi kurudishwa tena...
Wakuu.
Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe
Hemed.🗣
Dickson Job ni mchezaji wa timu ya taifa na amerudi kwenye timu ya taifa na hii ni baada ya...
Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena.
Hiyo inamaanisha nini?
1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka)
2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba.
Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa Kassim Dewji ambaye alipokuwa Katibu Mkuu wa Simba alipata sana misukosuko kutoka kwa akina...
Kijana alikuwa na tatizo la ada mpaka dirisha linafungwa akawa hajalipa ada ingawa alikuwa na control number. sasa amelipa karo/ada, only to find that he has been delete from the system. msaada gani anaweza kupata kurudishwa kwenye mfumo aweze kuendelea na shule?
Habari za majukumu na amini sasa hivi ni wakati sahihi wa kurudishwa kwa Mali kale yetu mifupa ya dinosaur ambaye alipatikana katika safu ya vilima Vya Tendenguru Lindi (1907-1913) ambayo kwa miaka hiyo ilipelekwa ujerumani kwa kuwa hatukuwa na sehemu ya kuhifadhi mifupa hiyo.
Sasa hivi kama...
Serikali itoe taarifa kwa umma kama utenguzi wa Balozi wa Tanzania nchini Misri ulifutwa ama laa.
Tarehe 15 August 2023 Rais Samia alifanya mabadiliko ya vituo vya kazi na utenguzi wa mabalozi na kumrejesha nyumbani Balozi wa Misri Nchini Tanzania Ndugu Emmanuel Nchimbi, na nafasi yake...
Wananchi wa kata mbili za Sinoni na Lemara wameshikwa na mchangao wa aina yake baada ya halmashauri ya jiji la Arusha kurudisha pesa walizokuwa wametoa kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambalo ni kiunganishi kati ya kata hizo mbili.
Awali baada ya pesa hizo kupatikana kutoka halmashauri...
Najiuliza wajibu wa MA DED na DC ni kulazimisha wanachama kubaki CCM?
Chadema mliingia kwenye Maridhiano kichwa kichwa, haya lazima yawatokee puani 2025 kama ilivyokuwa 2020.
Bila kukomaa na Katiba mpya msahau uchaguzi huru na haki.
Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine.
Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
Kwa jinsi mambo yanavyoenda huko serikalini na chamani unaweza ukashangaa muda wowote kuanzia sasa Paul Makonda akateuliwa aidha serikalini au chamani.
Kwahyo hata ikitokea msishtuke na kushangaa na mambo ya kawaida katika siasa.
=====
UPDATE:
Machi 31, 2024: Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda...
My Take
Nawaambieni ukweli mchungu.
Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani.
Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo.
Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
Nilikuwa sijawa mwanafunzi kipindi Cha Nyerere na nilikuwa Bado sijazaliwa . Tukijaribu kuangalia product za elimu ya Nyerere ambao wengi wao ni wazazi wetu utagundua Kuna utofauti mkubwa kiutendaji (nikimaanisha product Zina skills nyingi za kujitegemea kuliko tulivyo Sasa hivi).
Vya kale...
Tunaenda kujenga Taifa la namna gani? Yaani Waziri wa Elimu anatoa tamko wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa kukosa ada hata kwa shule binafsi.
Sasa shule binafsi zitakidhi vipi mahitaji yake kama kununua vifaa vya kufundishia na kulipa mishahara walimu kama wazazi hawalipi ada?
Kazi ipo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.