Chonde chonde Serikali yetu, wakulima sasa tunapata shida kubwa hasa maeneo yetu huku Pwani
Mazao karibu yote yanasakamwa na kunguru, wanaharibu mazao kama, Tikiti maji, sweatmelon, sweatcon, mahindi ya kawaida,
Imeniuma sana nimelima hekari mbili ya Tikiti maji, yote yameharibiwa kwa...