Habari,
Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi,
Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje,
Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi, na kwa wazoefu zaidi wanipe utaratibu wote
Nishafatilia kibali board ya nyama, slaughter house...
Habari .
Tunauza Container za ft20 na ft40 ambazo zote zipo katika hali nzuri..
Tuna container za ft20 na ft40
Zipo Kwa Grade kuna Grade A
Grade B
Grade C
Karibu Sana bei zetu ni rafiki Sana...
Katika kipindi cha mwezi Novemba, 2024 jumla ya watuhumiwa wa makosa 97 wa makosa ya mauaji, kujeruhi, kupatikana na dawa za kulevya, kuingia nchini bila kibali na kupatikana na silaha bila kibali walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na oparesheni na misako.
Novemba...
Dereva mmoja wa ambulance ameweka wazi ya kwamba wamechoshwa na tabia ya wapiganaji wa Hamas kutumia Magari ya ambulance kusafirisha silaha na majeruhi wao. Kwamba Hamas hujificha au kutumia ambulance kwenye kipindi Cha vita.
Kauli hii imetolewa na dereva wa ambulance ndani ya Gaza.
Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini:
1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.
Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi.
Nilipofika...
Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli.
Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika.
Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
Shirika la Mafuta la Uganda (UNOC) limetangaza kuanza kutumia Bandari ya Dar es Salaam katika kupakia bidhaa hiyo kwa ajili ya kupeleka nchini kwao.
Awali UNOC ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa nchini Kenya katika kuchukua bidhaa hizo huku ikisafirisha kwa kutumia Shirika la Bomba la Kenya...
Habari.
Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara.
Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
Hello great thinkers,
Kuna mwenye anajua utaratibu wa kusafirisha mizigo kwa kutumia treni, kutokea Dodoma hadi Dar?
Nmejaribu kupitia kwenye website yao sijapata majibu
Naomba mwenye maelekezo au idea anisaidie.
Asanteni
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme
Benaco - Kyaka
Na Charles Kombe, Dar es Salaam
Shirika...
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni.
Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
Tqnzania tuna bidhaa nyingi za kilimo,uvuvi,misitu na madini zinazo hitajika nje ya nchi.
Kwenye kuagiza(Import) tumekuwa na kiwango kikubwa cha kuingiza bidhaa kuliko kusafirisha nje (export).
Kwenye kusafirisha mizigo kutoka nje ya nchi kuja Tanzania (Import) wafanyabiashara na waagizaji wa...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510.
Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.