.
Karibu binti na mwana wa mama Afrika.
Ukiingia katika maandiko Subconscious Mind inaitwa moyo au roho.
Ukisikia fulani ana roho/moyo mzuri au mbaya ina maana hizo sifa zimejaa katika Subconscious mind yake.
Na ndiyo maana ya kauli ya Yesu kusema kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho...
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro.
Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio cha Ngerengere, Mhandisi Nangu Makula amesema zoezi hilo litaenda umbali wa mita 900 kutoka Mazimbu...
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco...
Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma.
Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.
Soma, Pia: Gamondi hana...
Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya kuyadafisha?kuna dawa ambayo nikiweka itayasafisha maji na yawe salama kwa kunywa?
WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA
Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza!
Tembo Nickel kupitia...
Wakuu natumai mu-wazima wa afya,
Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar).
Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema Alhamisi, na kuongeza kuwa hakukuwa na majeruhi.
Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege 13 zisizo na...
Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi?
NB: zikishawekwa hazirudi kama zilivyokuwa (zinakuwa round zikiwa mpya, then zinafyatuka kuwa hema ila kurudishia kuwa round baada ya kuwa hema ni ngumu)
Wadau habari za jioni. Poleni na mvua. Tafadhali naomba mwenye idea ya products za kusafisha makochi hasa haya ya fabric ili kuondoa kiharufu na jasho n.k ambayo ukisasafisha Kochi linawahi kauka.
Natangulisha shukrani zangu za dhati kwenu.
Shadrack Mwadime
Serikali imeanzisha zoezi la kusafisha sekta ya makampuni binafsi za uwakala wa ajira kwa lengo la kufanya iwe na ufanisi zaidi, uwazi, na kuhudumia vizuri Wakenya wanaotafuta fursa za ajira nje ya nchi, amesema Katibu wa Wizara ya Kazi Shadrack Mwadime.
Mwadime amesema...
Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi.
Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi
tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi usafi uko pale pale na tunawakaribisha kuwa pamoja usafi n afya
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam.
Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea.
Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati...
Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania.
Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi...
Nimepata kazi hapa ya kusafisha sink la choo na mwana jf shukrani kwake pia kama unauhitaji wa kusafishiwa sink la kunawia ama la choo lililofubaa ni cheki pm ama piga namba 0783672221 .Karibuni ,Bei ni 10k kwa choo na7k kwa sink la kunawia nakuja popote kwa waliopo Dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.