Wadau sina uwezo wa kununua maji ya kunywa ya chupa kwa ajili ya familia,maana tupo wengi,hivyo huyachemsha na kuweka kwenye water dispenser,lakini huwa yana uchafu,je nitumie njia ipi ya kuyadafisha?kuna dawa ambayo nikiweka itayasafisha maji na yawe salama kwa kunywa?