Haya si maneno yangu:
Yaliwakuta NCCR ya Marando, yakawakuta CUF ya Lipumba na sasa siyo siri, bundi katua chama pendwa.
Kwamba ilihitaji kufunga kumwombea mwenyekiti hekima ya mfalme Suleiman aache kuvutaniana mtoto?
Looh!
Kwani yakitokea huko kwingine nani hakuyaona?
Kama ilivyo kwa...
Habari JF, leo tutajifunza kidogo kuhusu hili tatizo la watoto kusaga meno .
Bruxism ni neno la kitabibu lenye maana kusaga meno au kufunga taya .Mara nyingi tatizo hili huwapata watoto wakiwa wamelala na ndio muda ambao walezi au wazazi huligundua, tatizo hili huisha kadri mtoto anavyokua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.