Habarini Wakuu.
Mashine ziko Chanika mwisho. Bei ni 13 Million maelewano yapo kidogo, zinatoka zote kwa pamoja. Unapewa Mizani pamoja na mashine ya kufungia mifuko. Naomba kama kuna mdau anahitaji. Anicheki kwenye namba hii 0713888700 au +255620249437
KUSAGA HP 40
KUKOBOA HP 30
Habarini wakuu,
Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu.
Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia...
Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu
Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako
Tunapatikana tabata
Namba zetu 0717209569
Wadau,
Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia kama biashara hii inafanida.
Shukurani.
Uhai unasiri kubwa sana ambayo kila mwanadamu anatamani kuupata angalau ufunguo wa siri hii ili kuchungulia hata akiba ya pumzi yake japo jambo hili laweza lisimsaidie chochote.
~~~
###### Ilikuwa ni usiku wa giza totoro sanaa, giza ambalo weusi wake uliyapiga kibao macho yangu na kuyafanya...
Wakuu habari,
Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa?
Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa...
MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk
Mashine MPYA
Bei 1,500,000/=
Mashine ipo DAR
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa.
●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k
●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
BEI: 450,000/=
Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!
KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
bar
bidhaa
code
date
karanga
kukoboakusagakusaganakukoboa
kutengeneza
logo
mahindi
mashine
mbili
mpunga
mpya
ndogo
number
print
printer
siagi
simu
ufuta
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.
Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
Wakuu wa jamvi, kwanza poleni na msiba. [emoji120]
Naomba kutoka kwenu kujua gharama za mtaji wa mashine ya kusaga na kukoboa nafaka kama mahindi, mchele n.k.
Napendekeza pia kushirikishwa uzoefu kuhusu biashara hii.
Natanguliza shukurani [emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.