kusaidiana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  2. Z

    Taasisi ya elimu ya juu imeanzisha chama cha kusaidiana kufuata dini ndani ya Ofisi ya serikali

    Kuna taasisi ya elimu ya juu imeruhusu umoja wa kusaidiana kwa misingi ya dini. Tafsiri yangu ni kwamba, kwa kuunda umoja huo, na kuhamasishwa na viongozi wa taasisi ni ishara ya kuwatenga watu wa dini zingine. Nimeona ushahidi kupitia kumbukumbu ya malipo ya mishahara (salary slip) ya mmoja wa...
  3. Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

    CLOSED
  4. Bondia Mwakinyo ashiriki zoezi la uokoaji Kariakoo

    Wakati zoezi la uokoaji likiwa linaendelea eneo la Kariakoo jengo lilipoanguka, Bondia wa Kimataifa wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshiriki katika zoezi hilo. My take: serikali isimamie hili jambo kwa weledi tupunguze chip popularities, professionals waachwe wafanya uokozi. Sio hawa wasanii...
  5. Hakuna watu wenye upendo, umoja na kusaidiana kama wanywa pombe

    Ijalishi ni msikitini, kanisani, kwa profesa janabi, serikalini, kazini, mitaani na n.k Ila wanywa pombe ni watu ambao wanaumoja kwenye mambo yao kuliko hawa wasiotumia. Leo jioni mtu anajigamba kuninunulia kahawa elfu moja yani ilivyo chungu halafu hakuna la maana kazi kusema watu na...
  6. MSAADA: Kusaidiana na Ibada

    Tusaidiane 🙏
  7. Uzi maalumu wa kusaidiana matatizo ya kiakili

    Akili ni sehemu ya ubongo ambayo inashughulika na kuhifadhi,kuchakata na kuamua jambo( hali ujuzi au ufahamu wa jambo) hauwezi kuamua jambo mpaka akili ichakate/kufanya ulinganifu na kutoa maamuzi ni jambo la haraka sana kwa kiumbe ndiyo maana sometimes mtu anajutia maamuzi yake ila hauwezi...
  8. Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini...
  9. Tuishi kwa kusaidiana kila mtu ana umuhimu katika maishani yetu

    Tusaidiane ingali tukiwa hai, msaada unaokuja kusaidia mazishi una maana lakini ungekua na maana zaidi kama ungekuja wakati wa kuuguza.
  10. Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

    Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba." Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto na nimekosa utulivu hadi kwa mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe. Sijawahi kumpenda bali ni nyege...
  11. L

    Ushirikiano wa China na nchi za Afrika ni wa kusaidiana na kunufaishana

    Na Caroline Nassoro Mara nyingi kumekuwa na kauli zinazodai kuwa, China inazipa nchi za Afrika mzigo wa madeni, na hii inatokana na misaada na mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na nchi hiyo katika miradi mbalimbali ya maendeleo ya nchi za Afrika. Lakini tukifuatilia kwa undani zaidi, kauli...
  12. Maisha ya ndoa ni kusaidiana

    Sio mwingine anakuwa bosi kwa mwingine, inatakiwa mke na mume washirikiane katika kuendesha gurudumu la maisha kwa furaha, huku wakidumisha ahadi waliyoiahidi wakati wa kiapo cha ndoa. Kwa wale wanaotamani ndoa, inabidi kujuwa wajibu wao kabla ya kuingia kwenye ndoa husika.
  13. Ukimfanyia hivi mke wako ni vigumu kukuchukia hata uwe huna pesa

    Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea Binadamu wa sasa wengi wetu ni modern man (nazani naeleweka maana ya modern man).. hivyo basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…