Siku hizi kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya maafisa biashara wa Halmashauri kwenda kwenye nyumba za kulaza wageni wakisema ni ukaguzi wa mchana. Hivi ikitokea mteja kaacha hata begi akatoka akiwa bado hajajiandikisha unatakiwa ulipe faini.
Hiyo faini sasa unaweza kuta ni zaidi ya 250% ya malipo...
Anonymous
Thread
afisa biashara halmashauri
faini guesthouse
faini nyumba za kulala wagenikusajiliwageniguesthouse
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.