Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu Wasabato:
Natambua mnaumizwa sana kiakili na kisaikolojia hasa mnapojikuta hamuwezi kuupindua ukweli huu wa Kibiblia na badala yake mnaishia kulaumu Kanisa la Roman Katholiki kwamba ndiyo wamefanya hvyo.
Yaani mpo tayari kukosana na kugombana au kumnunia...