Kwa sababu nakuwa naona kama hawajielewi vile.
Naona kwenda kanisani au msikitini ni Mambo ya kitoto kitoto.
Ndio maana siku hizi nimeamua kuwa introvert kwa sababu huwa nakuwa so much annoyed kukaa karibu na watu.
Unakuta jitu zima in his 50s linaongea kuhusu eti adhabu ya Kaburi na moto wa...