kusalimiana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: LYENDA: Tayari Team Mbowe wametenga TZS Milioni 380 kama fedha za kusafishia njia tu na sasa wanaelekea mikoani kusalimiana na wajumbe

    Makamanda kama kweli itatokea mtaanza kupokea pesa huko Majimboni kwenu kutoka kwa Freeman Mbowe basi ondoeni mashaka kabisa kuwa Mwenyekiti wenu tayari ni mtu wa Serikali na nirafiki wa watesi wenu lazima aogopwe kama ukoma. Freeman Mbowe amekuwa akilalamika uongozi huu ni mgumu na hauna...
  3. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kupunguza Kusalimiana kwa Kushikana Mikono

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo tunakutana na watu wengi na kushiriki mazingira mbalimbali, tabia ya kusalimiana kwa kushikana mikono imekuwa sehemu ya mazoea yetu ya kila siku. Ingawa kushikana mikono ni ishara ya heshima na urafiki, kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia jinsi tabia hii inaweza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

    Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma "mwangaroka bhadugu bhane" "Yani habari zenu ndugu zangu" Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
  5. JamiiForums Tanzania Profesa Abel Makubi ameshauri Watanzania kubadilisha utaratibu wa kusalimiana kwa kushikana mikono kwani huhamisha maambukizi ya magonjwa

    Na kingine GENTAMYCINE najijua nina Nyota Kali hivyo Michawi inanisaka kwa Udi na Uvumba na ndiyo maana huwa sitoi hovyo Mkono wangu. Kama tu Viganja vyangu vyote vina ALAMA ya BAHATI, ULINZI na MAFANIKIO makubwa ya M kwanini Wanga na HATERS wasihangaike kutaka Kunimaliza japo wanashindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…