Watu wengi wamekuwa na marafiki wanaowaeleza Siri mbalimbali.
Siri hizo huweza kuwa za kimahusiano, kikazi na Mambo kama hayo.
Je uliwahi mueleza mtu Siri yako na ukaikuta kwa mtu mwingine kama ilivyo.
Ulichukua hatua gani?
WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
Mume wako anakuambia mke wangu leo tutoke tukapate hata dinner nje, wewe unajidai wife material unamwambia mtapoteza hela bora mpike nyumbani. Siku nyingine anakuambia mtoke hata mkamwagilie moyo kidogo kama kawaida wife material unakataa unamwambia ni bora mnunue mmwagilie nyumbani.
Unamwambia...
Video hii kwenye Facebook imeeleza kuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amesema kuwa Rais William Ruto alimsaliti kwa kukutana na kinara wa upinzani Raila Odinga nchini Uganda.
Video hiyo ilikuwa na ujumbe kuwa “Ruto amenisaliti! DP Gachagua anazungumza baada ya Ruto na Raila kukutana...
Maumivu ya mwanamke anaposalitiwa yanaweza kuwa na athari kubwa sana kihisia. Hali hii inaweza kusababisha machungu na kuumiza moyo. Kila mwanamke anaweza kuhisi maumivu tofauti na kuonesha hisia tofauti kulingana na uzoefu wake binafsi na mazingira ya kijamii.
Mbaya zaidi mwanamke amezungukwa...
Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa.
Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu...
Hiki kisa nimekichukua FB asee
Mimi ni mama wa watoto 2 mimi na mume wangu tulikua vizuri shida ni huyu mwanaume ambaye niko naye. Nimfanyakazi mwenzangu na ni mume wa mtu.
Mwanzo mahusiano yalikua ya kawaida tu tunafurahiana lakini baadaye nikajikuta naanza kumpenda nikabeba mimba yake na...
Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki.
Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
1. Mimi miaka kadhaa nyuma kuna dem nilimuahidi akija geto nitampa 20k, si akajichanganya akaja geto nikala mzigo fresh baade kataka ile hela nikamwambia sina nitakupa siku nyingine. Basi tukalala, ile naamka asubuhi demu hayupo, nikagundua kumbe kaondoka na kisado cha dagaa nyama, nilihis ganz...
Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana
Betrayed
Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari kwa upendo wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana.
Mbaya zaidi una cheatiwa na watu wa karibu inauma. Nimependa lakini naumia sana. Natamani itokee siku mpenzi wangu...
Masikini PC yangu HP MODEL ya laki saba na nusu, nikaitumia ndani ya wiki mbili tu! Upendo ukataradadi nikamhonga ili kudumisha penzi, wiki moja baadae tena ilikuwa x mass nikamfuma na kauzu mmoja jirani yangu wanaingia kwake kuchakatana!
Looo! Nilikuwa nimepanga kumchakata kwa mara ya kwanza...
Miaka kadhaa nyuma when i introduced my wife to my father, I desperately hoped he’d get on. Mshua akanitoa pembeni akaniuliza are you sure she’s faithful to you?
My father simply couldn’t accept that someone as good looking as my wif’ wouldn’t be cheating on me at every opportunity, a wave of...
"Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia.
Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
Habari za jioni.
Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti?
Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu?
Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale, zaidi akaanza dharau.
Mnasuluhisha maisha yanaendelea ila sasa anakuwa amekutoka tu rohoni...
Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1886756/
Apambo kwa kifupi ni kwamba sikua na mahusiano kwa...
Tumezaliwa watoto watano kwa mama na watoto 9 kwa baba.Mimi ni mtoto wa tatu kwa mama na ni mtoto wa tano kwa baba.
Mimi nina bahati kubwa kwamba nimefanikiwa mapema kwa upande wa elimu na upande wa utafutaji mali, ila halimanishi kwamba ndugu zangu wote hawakusoma au hawana mali, wamesoma ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.