kusalitiwa na mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

    Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu. Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Back
Top Bottom