SHIRIKA la umeme nchini(Tanesco),limetoa shilingi Bilioni 18.5 kwa ajili ya utekelezaji wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 135 vya mkoa wa Kilimanjaro .
Utekelezaji huo utafanywa na mkandarasi CEYLEX ENGINEERING CO. LTD kwa muda wa miezi 24 kuanzia sasa.
Mkurugenzi wa fedha wa Tanesco,Daniel...