WanaMMU kwema, natumaini nyote hamjambo, kama hauko poa nakuombea uwe sawa, Amen!
Mapenzi Mapenzi Mapenzi
Kwenye mahusiano huwa inatokea kusaliti na kusalitiwa kimapenzi wengine hadi wanafikia hatua ya kufumaniwa kabisa. Kucheat na kucheatiwa kupo nje nje kwa sasa, kwa sisi wanaume hii kitu...
Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe, anaenda kanisani anaombewa baadae anaanza tena.
Miaka inaenda, umri unaenda, hana kazi stable...
Siri ya Mapenzi ya Kudumu: Je, Uko Tayari Kusamehe na Kuendelea? (Au Bado Umeshikilia Kaa la Moto?)
Leo tuna story kali kuhusu mapenzi. Yaani, ile siri ya kuwa na uhusiano unaodumu kama betri ya Nokia 3310 [Nokia Jeneza]. Mnaijua ile, hata ukiitupa ukutani inarudi ikiwa inawaka fresh tu!
Wengi...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu
Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote
Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18)
Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
Zaburi 109:Hii ni zaburi ya Daudi inayojulikana kama "Zaburi ya Kulaani." Katika zaburi hii, Daudi anamlilia Mungu awaadhibu maadui zake kwa maneno makali na malalamiko mazito. Mfano, katika Zaburi 109:9, Daudi anaomba Mungu, "Watoto wake na wawe mayatima, na mke wake awe mjane."
Mathayo...
KUACHILIA/KUSAMEHE.
Ni pale unapokuwa huru ndani mwako,
Jambo hili linatupoteza wengi sana ,na mwishowe tunarudi kuwalaumu wachawi Kwamba ndio wanaotukwamisha mambo yetu kumbe hiyo ni sumu uliyokaa nayo ndani mwako ndio tatizo la mafanikio yako.
Kuna mtu unakuta ametunza kinyongo, ametunza...
Wazee wenu walishasema "Kitanda hakizai haramu".
Wazee wenu walishasema "kuchapiwa ni siri ya ndani".
Misemo yao yote hiyo ni kuilinda ndoa isivunjike panapotokea usaliti, sasa wewe unaesema huwezi kusamehe usaliti unaoa ili iweje na wakati wazee wenu wameshawa andaa kisaikolojia kukubali...
Elpidius Edward, mkazi wa Mtaa wa Katundu mjini Geita amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 48.2 za Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki Geita.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemtia hatiani Elpidius baada ya kuridhishwa na...
Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo.
je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
Hello hello Family! Wasalaam?
Nichukue fursa hii kipekee kufungua jukwaa la elimu, kushare tiba, uzoefu, kinga, kuhimili, kusamehe, kusahau na kuvukq changamoto ndani ya ndoa, mahusiano na mapenzi.
Kwa kuzingatia migogoro na mikwaruzano na madhara yake katika jamii. Tafadhari ushiriki wenu ni...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya.
“Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
1. Mwanamke nliyezaa naye tuliuguliwa mtoto akalazwa na tatzo lilikuwa linajulikana maana iyo ilikuwa n mara ya pili, mtoto alifariki nliumia mpk leo sjawai msahau mwanangu, aisee yule mdada akaanza sambaza mi ndo nimemuua mtoto wng.
2. Nilipigiwa cm na ndugu yng kwmb kuna kaz kaniunganishia...
Watu wengi wakiwa watoto wanafanyiwa matukio ya kuumiza na kwasababu ya udogo wao wengi hupuuzwa au kuongezewa maumivu badala ya kushughulikia madhara yaliyoletwa. Kutokana na dhana iliyojengeka kuwa "Mkubwa hakosei" wazazi/ walezi wengi huwa hawaombi msamaha endapo amemkosea mtoto, na watoto...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi, ametangaza kuwa serikali itasamehe mikopo 23 iliyokomaa na isiyo na riba kutoka nchi 17 za Afrika zenye uchumi unaoibukia.
Hatua hiyo haihusishi idadi kubwa ya mikopo ya hivi karibuni ikiwemo mikopo ya masharti nafuu na mikopo ya kibiashara ambayo kwa mujibu wa...
Nasikia ili Kutotuudhi wana Simba SC ( hasa Team Manzoki ) wanaoongozwa nami mmeamua Kuwasajili Mzungu Mserbia na Manzoki ila Kanoute anaachwa.
Mkifanya hivi Mimi nanyi yataisha
.
Serikali imebariki hoja yake ya kuwatambua na kuwasamehe walipakodi mahiri, huku mbunge mwenye hoja kinzani akiendeleza msisitizo wake kwamba anaona ishara ya kasoro na kashfa.
===
Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali...
Ifahamike kuwa wakati baadhi ya wafanyabiashara hawakuweza kulipa kodi, kuna wenzao waliweza kulipa kodi kwa aina hiyo hiyo ya biashara na soko hilo hilo.
Mfanyabiashara anapopanga bei ya bidhaa zake anatilia maanani gharama aliyotumia ikiwemo ulipaji wa kodi.
Sasa kama mfanyabiashara mmoja...
Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo.....
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.