Nipo kweli mahusiano almost two years sasa!
Sema kweli huyu binti nampenda lakini tabia zake hazifai kuwa mke hata kwa kubahatisha!
Kasoro zake!
Mtu wa visirani na visasi yaani akimchukia mtu hata ukimpatanisha hataki amani tena na mtu huyo!
Asilimia 95% ya ubongo wake unategemea watu...