Wakuu
Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana.
Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.
Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje.
Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.