Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi.
Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo.
Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine.
Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni:
"Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali haraka kudate na kijana huyo.
Lakini kama kijana huyo akisema yeye ni saidia fundi kwenye shughuli...
Kumekuwa na matatizo kuhusu Nusra,mwanafunzi wa UDOM. Habari zinasema mwanamke alikufa kwenye ile ajali ya Waziri. Polisi inaelekea wanaleta obfuscation.
Badala ya kusema maneno kuuzima huu uvumi once and for all Polisi wanaleta ubabaishaji. Hawataki kuyamaliza haya maneno. They are just...
Wasalaam JF,
Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa.
Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi.
The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua.
Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri...
Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake.
Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM...
Kama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya.
Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya.
Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa...
Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana.
Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi.
Soma mwenyewe hapa
Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge
Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge
Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimesema rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan “aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo” katika baadhi ya mambo ambayo ameyatolea ufafanuzi katika mahojiano yake maalumu aliyofanya na BBC.
Kauli hiyo, imetolewa hii leo na Katibu Mkuu wa Chadema, John...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.