kusema uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

    Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi. Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. 🤔
  2. Utawezaje kutofautisha kati ya kutunza siri na kusema uongo?

    Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo. Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
  3. R

    Tundu Lissu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui

    Tundu Lisu ana sifa moja kuu, anapenda kujenga hoja bila kuweka chuki au uadui. Hana adui wa kudumu na kutokuwa na adui hakujawahi kumfanya awe mnafiki kama walivyo wanasiasa na wanazuoni wengine. Anapotamka wazi kwamba Magufuli hakuuza nchi kwa mikataba mibovu anasema ukweli. Anaposema Mkapa...
  4. Mabinti ndio sababu ya vijana wengi kusema uongo

    Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni: "Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali haraka kudate na kijana huyo. Lakini kama kijana huyo akisema yeye ni saidia fundi kwenye shughuli...
  5. Dini hairuhusu watu kusema uongo

    Kumekuwa na matatizo kuhusu Nusra,mwanafunzi wa UDOM. Habari zinasema mwanamke alikufa kwenye ile ajali ya Waziri. Polisi inaelekea wanaleta obfuscation. Badala ya kusema maneno kuuzima huu uvumi once and for all Polisi wanaleta ubabaishaji. Hawataki kuyamaliza haya maneno. They are just...
  6. Je, katika mapenzi kwa nini mwanamke aliumbiwa kusema uongo kuliko ukweli?

    Wasalaam JF, Leo nataka niwafungue macho wanaume especially katika muktadha wa mapenzi, mahusiano na ndoa. Mwanamke hana aibu kusema uongo kuliko ukweli na hawataki kukiri makosa kirahisi. The point is wanawake huwa hawana kitu inaitwa commitment kwenye mapenzi, they enter relationship for...
  7. Kwanini Mawaziri Wazanzibar hawapendi kusema uongo?

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua. Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri...
  8. R

    Bila uchawa, kusema uongo, kuwa praise team member hutoboi

    Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake. Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM...
  9. Wanawake acheni roho mbaya

    Kama mada inavojieleza, wanawake acheni roho mbaya. Kama mtu haumuitaji tena na umemchoka kwann umsingizie mambo mabaya?nimesikia matukio mengi kuhusu wanawake kiukweli mmezidi roho mbaya. Kuna jamaa yangu miaka miwili iliyopita sasa badae sjui ilikuwaje yeye na mkewe wakapishana na wakawa...
  10. I

    Kwa waislamu wenzangu, naombeni mnisaidie hukumu ya kusema uongo

    Naam uzi huu naulenga kwa waislamu wenzangu. Je kwa anaefahamu, ipi ni hukumu ya kusema uongo, mtu afanye nini kujitakasa na dhambi iyo baada ya kua ameshaitenda na hawezi badilisha matokeo ya uongo huo?
  11. Papa Benedict XVI akiri kusema uongo katika kumtetea Padri aliekua analawiti wavulana

    Papa mstaafu Benedict XVI amekiri kwamba aliwahi kusema uongo kwa wachunguzi na wapelelezi wa kesi ya kuwalawiti watoto kuhusu padri aliekua anachunguzwa kwa kuwalawiti wavulana. Papa Benedict ameomba asamehewe kwa kusema uongo na kuficha ukweli kwa wachunguzi. Soma mwenyewe hapa
  12. Askofu Gwajima na Jerry Silaa waitwa kwenye Kamati ya Bunge kujieleza kwa kusema uongo na kushusha hadhi ya Bunge

    Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike...
  13. John Mnyika: Rais Samia "aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo”

    Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema, kimesema rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan “aidha amepotoshwa au ameamua kusema uongo” katika baadhi ya mambo ambayo ameyatolea ufafanuzi katika mahojiano yake maalumu aliyofanya na BBC. Kauli hiyo, imetolewa hii leo na Katibu Mkuu wa Chadema, John...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…