Naendelea kukusanya data kila siku.
Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake
wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kuhusu msimamo wa mjerumani Martin Luther profesa wa theolojia , kasisi na baba wa mageuzi ya kidini duniani.
Mtazamo wa kasisi huyu wa kijerumani kwa Wayahudi ulikuwa chanya akiwaonea huruma kwa shida zao lakini ulibadilika siku za mwishoni za maisha yake na kuwa...
Uchaguzi halijawahi kuwa jambo dogo Kwa wanaoshindwa duniani kote ,hata aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump aliwahi kulalamika kuchezewa faulo iliyopelekea kushindwa na Joe Biden Rais wa Sasa wa Taifa Hilo lenye demokrasia kubwa zaidi duniani.
Kutokana na mfano huo wa Trump na Marekani...
Mikataba yote Tanzania ya kimataifa wanatuwakilisha watumishi wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Mshauri Mkuu wa serikali kuhusu kuvunja mikataba hiyo ni Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Wanaotuwakilisha katika mahakama za kimataifa katika kesi tunazoshtakiwa nazo ni ofisi ya...
Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa nafasi ya kuwa mshauri wa Raisi mambo ya wanawake na watoto;
Serikali imesaini mkataba waDP World na...
Najua kuwa Kifo hakichagui, ila Kupunguza athari yake Kijamii inawezekana kama tu ukiwa makini.
Hivi kwa mfano Ndugu mpo 30 mnatoka Dar es Salaam kwenda Shughulini Mkoani Dodoma kwanini nyote mpande Gari / Moja?
Kwani mkijigawa Watu Watano Watano mpande Gari / Basi tofauti tofauti kwenda huko...
Hili halisemwi sana ila ndo ukweli wenyewe!
Moja ya sababu zilizofanya Mwl. Nyerere aamue kung' atuka mwaka 1985 ni kutokana na kufeli kwa Sera zake za kiuchumi hasa za kijamaa. Ilifika kipindi watanzania walianza kuvaa nguo zenye viraka na hata ununuzi wa bidhaa madukani ulifanyika kwa...
Wanabodi,
Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu:
i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia
ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima
iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora.
iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama.
Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala...
Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu aliowakuta GENTAMYCINE nilimaanisha na kuna Hatari niliiona na leo imejidhihiri.
Nawaombeni rejeeni marejeo...
Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi"
Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana.
Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe.
Alhamis Ubarikiwe Sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.