Ndugu zangu... Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25.
Wiki moja iliyopita nilikutana kimwili na binti ambaye kwa bahati mbaya nilikuja kugundua na kuthibitisha kuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi😭😭, na siku hiyo niliuza mechi (sikuvaa...
Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika
Juzi wazee nilishikwa kwelikweli, maisha magumu sana Dira haioneshi wapi ni kaskazini. Basi nikajikoki kutafuta watu wazima kidogo...
Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu.
Imeisha hiyo......!!
1. Ikiwa unapitia changamoto yeyote, usije ukaomba ushauri kwa Ex kwasababu huyu atakushauri kwa kusukumwa na wivu ama hisia.
2. Jitahidi kuto mshirikisha rafiki wako wa karibu changamoto za mahusiano yako kwasababu, huyu ni rahisi kukushauri kwa kutumia hisia kwasababu atayabeba maumivu yako...
Habari wana jamvi..
Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa ubora ni mdogo.
Akawa amenigusia kuhusu Havells akidai kuwa kwasasa bado inazalishwa na mhindi...
Wakati mwingine tunapitia changamoto katika maisha ambazo zinaweza kuwa ngumu sana kushughulikia, hata wale walio karibu nasi wanaweza kutoa ushauri ambao haufai.
Hata hivyo, tunapaswa kuwa wazi kwa ushauri wowote wa kujenga kutoka kwa marafiki na familia zetu na kujifunza kutoka kwao.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.