Habari za wakati huu!
Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.